VETA Chato imekamilika na huu ndiyo muonekano wake

Watakaosomea hapo ni vijana wa Muleba Bukoba Kigoma Geita Kahama na Mwanza
 
Wachina wana akili sana wamejua hii ndo wilaya yake pendwa wakamjengea VETA Chato.
 
Ili tuendelee tunahitaji vyuo vingi sana vya ufundi kuliko vyuo vikuu.

Waendelee kujenga hivi vyuo vya ufundi kwa wingi kadri iwezekanavyo na viwe equipped kusawasawa baada ya muda tutakua mbali.
 
Kila kizuri kinapelekwa Chato. Hebu tupewe mchanganuo wa ulipaji kodi wao kwa mwaka. Wastani wa makusanyo ya kikodi na yasiyo ya kikodi kutoka Chato kwa mwaka ni shilingi ngapi?

Nafasi nzuri ya kujenga kwenu ni pale umekuwa mhasibu wa hardware ,store ,
Utajenga tu haijalishi ulinapwa pesa kidogo😂🤣
Unajua utajengaje?
=Magazijuto✓
 
Iko vizuri sanaaah. Ikazalishe wasomi wabobevu ktk course husika zitolewazo hapo.
 
View attachment 1671264
View attachment 1671265
Swali ni kuwa vijana watakubali kuacha kuchunga ng’ombe wajifunze ufundi?
Uko misinformed sana na wasukuma wewe,hivi unadhani kila msukumu ni mfugaji Wa ngombe? Kwa chato kama kuna wafugaji basis ni asilimia 20% na hawazidi hapo,tena na wenyewe ni wale wenye tungombe tutano,wenye ngombe 200 hawazidi 50

Wafugaji Wa ngombe wako shinyanga ,simiyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…