nimeitwa kwenye second intervier mkuu.wakuu iv VETA washaita watu kwenye inteview?naomba mnijuze...........!
wale waliokuwa interviewed kupitia delloite?wameshaitwa au bado?hembu wadau mtujuze
Waliitwa kenye interview ya pili pale veta makao makuu. Nafikiri wiki wataitwa kwa ajili ya kazi
nataman kuitwa kwenye hiz interview kuwe kunaandikwa kwenye magazeti watu wawe na taarifa kuwa hawakukidhi vigezo basi hata website ya organization iwe inaonyesha hilo.