plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 881
- 1,537
Baadhi ya watu wamekuwa wakiuliza kuhusu Veta na jinsi gani wana toa elimu au wengine wana amini veta ni sehemu ya watu walio feli.
Veta wanatoa kozi mbali za mda mfupi na za mda mrefu kulingana na maitaji ya mtu husika.
Kuhusu kozi za mda mrefu zipo katika level 1, 2 na ya 3.
Masomo yanayo patikana katika level 1&2 ni:
Fani husika:
Hipo hivi mtu aliye toka Veta mfano kasoma plumbing,umeme n.k mpaka level ya tatu na aka fahuru basi ataitajika d mbili za cheti cha form aijalishi ni za art au scince na cheti cha level 3 kutoka Veta kusoma diploma ya fani husika.

- Fani husika
- Technical drawing
- Entrepreneurship
- Math
- English for enginnerng
- Computer
- Engineering scince
- Life skills
Fani husika:
- Computer
- Math
- English