VETA washaita watu kazini?

wenzako wameshaanza kazi tangu wiki iliyopita omba mungu watu wagome nawe upate nafasi kama ulifanya vyema pia.

Ya kweli hayo quirine? Sio kwamba wiki iliyopita ndo watu walikuwa kwenye kufinalize negotiations za mishahara ili waanze kazi next month?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…