Veta yafungua "the one and only" chuo mkoa wa manyara!

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
53,857
Reaction score
121,995
Wanabodi,

Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi Nchini, VETA, wamezindua chuo pekee kilichopo mkoani Manyara. Mkoa huu, ni moja ya mikoa mipya ambao hauna chuo kingine chochote cha elimu yoyote zaidi ya hiki chuo cha Veta kilichozinduliwa leo!.

Uzinduzi huo, uliofanyikia katika mji wa Babati, umefanywa na Makamo wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dr. Mohamed Gharib Bilal aliyeandamana na Naibu Waziri wa Elimu, Mhe. Philip Mulugo, Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Veta, Prof. Idrissa Mshoro, na Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Eng. Zebadiah Moshi.

Hotuba za uzinduzi zinaendelea,

Endelea kufuatana nami.

Pasco.
 

Attachments

  • Makamo wa Rais, Dr. Mo' Gharib Billal na Balozi wa kOREA, H.E. Young Kim, wakikata utepe kuzindu.JPG
    237.5 KB · Views: 154
  • Mkurugenzi Mkuu wa Veta, Eng. Zebadiah Moshi akimuonyesha Makamo Rais, baadhi ya zana za kilimo .JPG
    365.4 KB · Views: 210
Ok! Nasubiri updates, usisahau picha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…