Veternary medicine au phamarcy?

Veternary medicine au phamarcy?

papachueta

Member
Joined
Mar 11, 2013
Posts
25
Reaction score
6
Jamani heshima yenu wakubwa nimemaliza sx matokeo bado lkn nna imani ntafaulu lkn naombeni ushauri ipi kati ya mambo haya mawili utanishauri mimi kama mdogo wako nikasome veternary medicine au phamarcy? Shukrani kwenu
 
soma pharmacy-utapata ajira au utajiajiri na ukiwa mbunifu kidogo unaweza kufanya kila kitu kwa digrii yako ya pharmacy
 
Mi naona bora usome bvm kwa sababu uhakika wa ajira ni mkubwa
 
Jamani heshima yenu wakubwa nimemaliza sx matokeo bado lkn nna imani ntafaulu lkn naombeni ushauri ipi kati ya mambo haya mawili utanishauri mimi kama mdogo wako nikasome veternary medicine au phamarcy? Shukrani kwenu
Kama unataka uhakika wa ajira, kasome BVM lakini kama una entrepreneurial qualities na sio mvivu wa kutembelea maporini kutafuta mitishamba ya kuigeuza into modern forms, basi soma Pharmacy.
 
kasome BVM sema sasa mzikii wake ila kakomae nayo.
 
BVM ni nzuri hasa katika wakati huu ambao kuna kitu kinaitwa LIFE SCIENCES. Hii inaunganisha masomo mengi ya sayansi hasa biology, medicines na kilimo ndani. Pia, ujuwe BVM ni zaidi ya MD kimtanzamo ila ngumu sana.
 
Back
Top Bottom