papachueta
Member
- Mar 11, 2013
- 25
- 6
Kama unataka uhakika wa ajira, kasome BVM lakini kama una entrepreneurial qualities na sio mvivu wa kutembelea maporini kutafuta mitishamba ya kuigeuza into modern forms, basi soma Pharmacy.Jamani heshima yenu wakubwa nimemaliza sx matokeo bado lkn nna imani ntafaulu lkn naombeni ushauri ipi kati ya mambo haya mawili utanishauri mimi kama mdogo wako nikasome veternary medicine au phamarcy? Shukrani kwenu