Vetting ya Mawaziri Kenya ni viroja!

Vetting ya Mawaziri Kenya ni viroja!

Andrew123

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
8,358
Reaction score
10,976
1. Wenzetu pamoja na Katiba 'nzuri' bado wanafanya mzaha kwenye vetting ya Viongozi wao.

2. Hivi punde Mawaziri wateule 20 wamepitishwa na Bunge tayari kula kiapo na kuanza 'kuiba' upya pamoja na kutokufanya vizuri kwenye mahojiano. Yaani kinachoitwa mahojiano ni kama "formalities" tu.

Hapo zamani za kale serikali ya Kenya ilikuwa na viongozi wenye sifa za kisomi na kipekee kama Charles Njonjo na Tom Mboya. Japo ukweli ni kwamba sisi na Kenya hatuchekani tu.
 
Sasa nimeelewa kwanini wajerumani walikuwa wanatembeza viboko, kungekuwa na adhabu ya viboko heshima ingekuwepo
 
Sasa hivi Johor na digrii feki eti nae waziri
Mwafrika suala zima la kujisimamia imekuwa ni shida. Nadhani Kenya na Tanzania kuna mzaha sana kwasababu ni muda mrefu hatujapitia shuruba na dhahama kama zile ambazo mkoloni alizileta. Ila tungekuwa kwenye maeneo kama Middle-East tusingediriki kuweka viongozi wa hovyohovyo.​
 
Inasikitisha drama kila kukicha. Baada ya vuguvugu la Gen Z watun wanaendeleleza usanii
 
Back
Top Bottom