Sasa hivi Johor na digrii feki eti nae waziriHapo zamani za kale serikali ya Kenya ilikuwa na viongozi wenye sifa za kisomi na kipekee kama Charles Njonjo na Tom Mboya.
Sasa hivi Johor na digrii feki eti nae waziri
Inasikitisha drama kila kukicha. Baada ya vuguvugu la Gen Z watun wanaendeleleza usaniiMwafrika suala zima la kujisimamia imekuwa ni shida. Nadhani Kenya na Tanzania kuna mzaha sana kwasababu ni muda mrefu hatujapitia shuruba na dhahama kama zile ambazo mkoloni alizileta. Ila tungekuwa kwenye maeneo kama Middle-East tusingediriki kuweka viongozi wa hovyohovyo.