Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,085
- 4,890
Muswando naye alipangusa kwa mdomo ile mashine ya Dada yetu Giggy Money?Nadhani mamlaka zinazomsaidia Mh.Rais kupata wateule ni vema zikawa makini sana kwenye kipengele cha vetting.
Wateule wengi pamoja na udhaifu wa binadamu wana kashfa za kujitakia ambazo ni aibu kwa wananchi.
Kitendo cha mteuliwa kuwa na kashfa ya ngono, wizi, utoro kazini ni aibu kwa wananchi atakaoenda kuwaongoza.
Utabiri wako umeshatimia kwa mmoja kati ya wawili uliowataja.Usije kushangaa mtu kama makonda au sabaya akaja akapewa nafasi kubwa tu, hilo linchi la wahuni watupu, wewe ukiniona decent nenda aksomee upadri tu.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Muswando naye alipangusa kwa mdomo ile mashine ya Dada yetu Giggy Money?
Muswando alikusudia kula mara moja ama bado huwa anarudia rudia maana kwa inavyosemekana giggy ni zaidi ya asaki ya nyuki wadogo.
#Mwenye ile clip Musuwando akichezea ubaraza anitumie.