KWA WASAMBAZAJI WA BIDHAA HII DIRM VFD INAWAFAA SANA.
Hii ni App au mfumo wa kutoa risiti za EFD kwa kutumia simu au Computer au vyote kwa pamoja, Ni rahisi, Haraka, halali na inafaa kwa biashara zote zilizosajiliwa kama kampuni, jina la biashara nk.
-sasa wale wenye biashara za kusambaza kwa wateja utaweza kuongeza user/watumiaji kulingana na mahitaji yako.
- Kila risiti itaonesha nani kaitoa na muda gani na kiasi gani.
- kila mtumiaji atakuwa anaweza kuona risiti zake tu alizotoa bila kuona za mwenzake.
- Admini anaweza kuona risiti zote vile vile Admini unaweza kuangalia risiti za mtu fulani kweye system yake.
Hivyo hauitaji kuwa na mashine kubwa kwa kila gari au kituo cha mauzo VFD ni mbadala wake.
NB: Hizi huduma zote hakuna malipo ya ziada labda kununua printer tu.
Huu mfumo ni halali umethibitishwa na TRA kutoa risiti za EFD zenye QR CODE,