leke oil lubes tanzaniaUmesahau that Condoms and lube are made in Kenya.
What about Tanzania?
sasa hawa wakenya huwa wanazungumzia viwanda gani haswa?Viwanda vipi Tanzania inavitegemea kutoka Kenya? Huwa wanafikiri 50 years back
Kama kungekuwa na huo uhitaji kihivyo mpaka saivi bidhaa za viwandani huko madukani zingepanda basi kama sukari ilivyopanda siku chache zilizopita kutokana na viwanda vyetu kwenda service
Badala yake bei ya vyakula Kenya nzima ndio imepanda kichizi, haishikiki mpaka masoko na biashara nyingi zimefungwa kabisa kutokana na supply breakdown kutoka Tanzania.
Uzuri hili saga limewaonesha wakenya wengi ni kwa namna gani wanavyoitegemea Tanzania.
Umesahau that Condoms and lube are made in Kenya.
What about Tanzania?
Sasa hivi wanalalamika eti watanzania tunawwanyanyapaa kuwa wao wana coronaMkuu unafahamu viwanda vingine vilivyopo huko kwa hawa mabuda?
Hebu taja hivyo viwanda vyenu na useme vinazalisha kitu gani.Leteni takwimu za jumla ya hela ambazo viwanda vya Kenya vinaingiza kwenye uchumi wa Kenya na hivyo hivyo kwa viwanda vya Tanzania kwenye uchumi wa Tz, mtaona aibu nawahakikishia. Kumbukeni kwamba kwa sasa Kenya inauza bidhaa nyingi zaidi ya inazonunua kutoka Tz na pia nchi zote zingine ukanda huu wa Afrika mashariki na ya kati. Bidhaa ambazo Kenya inauza ukanda huu kwa wingi sio maharagwe na mahindi kama Tz, bali ni bidhaa kutoka kwa viwanda. K.m mwaka jana top export ya Kenya nchini Tz ilikuwa ni madawa.
Hujui unachozungumza ww in short Tz hatuitegemei Kunyaland kwa chochote hata border closure haitaweza yumbisha taifa na pia incase wananchi wetu mpakani wanaweza fanya biashara na mikoa ya ndani japo tutayumba kwa mpakani kidogo lakini surely kunyaland has got much more to lose. Ndo maana ya kuwa Tz EAC GIANTLeteni takwimu za jumla ya hela ambazo viwanda vya Kenya vinaingiza kwenye uchumi wa Kenya na hivyo hivyo kwa viwanda vya Tanzania kwenye uchumi wa Tz, mtaona aibu nawahakikishia. Kumbukeni kwamba kwa sasa Kenya inauza bidhaa nyingi zaidi ya inazonunua kutoka Tz na pia nchi zote zingine ukanda huu wa Afrika mashariki na ya kati. Bidhaa ambazo Kenya inauza ukanda huu kwa wingi sio maharagwe na mahindi kama Tz, bali ni bidhaa kutoka kwa viwanda. K.m mwaka jana top export ya Kenya nchini Tz ilikuwa ni madawa.
Acha mzaha wewe, hivyo ni vitu simpo sana kuvithibitisha, kama huna mbs kopa kwa jirani. 2019 viwanda vya Kenya viliingizia nchi ya Kenya takriban $7.12Billion. Mwaka huo huo viwonder vya Tz vikaiingizia Tz $996Million tu, tafakari hayo. Kenya Manufacturing sector vs Tanzania'sHebu taja hivyo viwanda vyenu na useme vinazalisha kitu gani.
yaani ninyi makusanyo yote ya kodi mwaka mzima hamfiki $8B ndio viwanda pekee viwaingizie $7BAcha mzaha wewe, hivyo ni vitu simpo sana kuvidhibitisha, kama huna mbs kopa kwa jirani. 2019 viwanda vya Kenya viliingizia nchi ya Kenya takriban $7.12Billion. Mwaka huo huo viwonder vya Tz vikaiingizia Tz $996Million tu, tafakari hayo. Kenya Manufacturing sector vs Tanzanian's
Jione, zezeta ni wewe ambaye hujui tofauti kati ya total manufacturing revenue na tax from manufacturing revenue. [emoji1] Mwaka wa 2019, nchini Kenya: Total Manufacuring revenue-$7.12Billion, Tax from Manufacturing revenue- $1.64Billion. Tanzania: Total Manufacturing revenue- $996Million, Tax- who cares? [emoji1] Yaani kwa ufupi GOK iliingiza hela nyingi kutoka kwa ushuru uliotozwa viwanda-$1.64B, zaidi ya hela zote ambazo viwonder vya Tz viliingiza kwenye uchumi wa Tz-$996M, achilia mbali ushuru. [emoji38] Bure kabisa, kwenye viwanda tafuteni ligi na nchi nyingine. K.m. Burundi.yaani ninyi makusanyo yote ya kodi mwaka mzima hamfiki $8B ndio viwanda pekee viwaingizie $7B
Ndio maana mnatapeliwa na vibaka wenu mnaowaita viongozi kama mazezeta View attachment 1542105