Viagra, sildenafil citrate niipate wapi?

Duuh kuna mtu nilishawah muona nayo hii enzi zilee ila utoto ckujua matumizi yake
 
Tatizo nini zaidi! eleza tu tatizo pengine kunaweza kuwa na mbadala maana kutumia viagra ni stage fulani kubwa kidogo

Mwambieni huyo jamaa kama anataka kufa kwa ajili ya kupata muhemuko,arejee kifo cha aliyekuwa raisi wa Naigeria Sani Abacha na aliyekuwa seneta wa Makueni Mutula Kilonzo,mihemuko ya kutumia viagara imewapeleka kwa Mungu ASAP,na hao wamejulikana sababu ni watu maarufu ,lakini wengi wamekufa kutokana na kutumia viagara
 
maduka karibu yote ya dawa zinapatikana, majina ya biashara ndio tofauti lakini composition zinafana. kwa mbadala (virutubisho) ni pm
 
Du pole sana mkuu....mitishamba imedunda?,supu ya pweza nayo?,karanga mbichi nazo?.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…