Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,234
Wana JF,
Naomba kuuliza. Je, dawa za kuongeza uwezo wa kufanya mapenzi, maarufu kama Viagra, zina madhara? Maana inasemekana (not confirmed), the late General Sanni Abacha zilimtoa roho!
Zipo za aina ngapi?
Je, kama hazina madhara, utazijuaje zilizo salama wakati kwenye mtandao zimejaa tele?