Wadau hivi mliowahi kutumia hizi deodorant zenye viambata vilivyopigwa marufuku leo nimeisoma ya axe appolo nimeona, kiambata cha butylphenly methylpropional ambao wanasema inaenda kudhuru mfumo wa uzazi mnaotumia vp ikoje
Maelezo hayajajitosheleza, picha ya axe pamoja na maana ya hizo butylphenly na methylpropional na madhara yatokanayo navyo kwa ufasaha na vthbitsho vya madhara.