VIAMBATA VINAVYOTAKIWA KATIKAKUHAMISHA UMILIKI WA CHOMBO CHA MOTO

VIAMBATA VINAVYOTAKIWA KATIKAKUHAMISHA UMILIKI WA CHOMBO CHA MOTO

Joined
May 22, 2017
Posts
51
Reaction score
21
1. Kadi ya Usajili wa Chombo cha Moto.
2.Mkataba wa Kisheria wa Mauziano na Risiti ya EFD kutoka kwa
Mwanasheria aliyesaini mkataba huo au risiti ya manunuzi uliyopewa
wakati wa manunuzi wa chombo hicho toka kwa muuzaji.
3.Kiapo cha Umiliki.
4.Taarifa za Muuzaji (Picha ndogo moja na nakala ya kitambulisho chake)
5.Taarifa za Mnunuzi (TIN, Picha ndogo moja na nakala ya Kitambulisho)
6. Barua ya Maombi ya kubadilisha umiliki.
 
Back
Top Bottom