Habari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB
Je, nazipataje document tajwa na mimi ni recent graduate wa 2024?? Msaada wakuu.
Deadline ni kesho na nimepewa siku moja tu.