Asante mkuuNenda kwenye kila ofisi tajwa.
Hongera mkuu kwa kupata kaziHabari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB
Je, nazipataje document tajwa na mimi ni recent graduate wa 2024?? Msaada wakuu.
1. Police clearance: ingia kwenye website ya jeshi la polisi,jaza taarifa zako huko,utapewa control number,lipa,download form zako kisha nenda nazo polisi (Forensic Department),itategemea uko mkoa gani. Kwa hapa Dsm nenda chap pale ofisi za wizara ya mambo ya ndani posta ukiwa na hizo form zako. Ndani ya week utakuwa umepata hiyo barua. Kama uko mkoa mwingine fatilia ni wapi unaweza kuzipata ila utaratibu ni huo.Habari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB
Je, nazipataje document tajwa na mimi ni recent graduate wa 2024?? Msaada wakuu.
Fata huu ushauriHongera mkuu kwa kupata kazi
1. NSSF number - Nenda ofisi za NSSD utapata chap, cha msingi uwe na namba ya NIDA
2. Police Clearance - Mwajiri wako anatakiwa akupe barua ya kukutambulisha Police na kusema kuwa anawaomba wakufanyie clearance check, ndani ya siku moja zoezi linaisha. Majibu yatatumwa kwa Mwajiri wako. Ingawaje nimesikia kuna mfumo wa online, Just visit nearest police post for more information.
3. Barua ya HESLB - Hii hata sijui kwa nini wamekuomba. Wao wanatakiwa wa submit your college/University reg number to HESLB, then HESLB watatuma barua kwa mwajiri wako kuonesha status yako ya deni la mkopo (kama unadaiwa au la)
Kila la heri mkuu kwenye ajira mpya!
Yes,kuna mfumo wa taarifa online. Unajaza form then unazipeleka.Hongera mkuu kwa kupata kazi
1. NSSF number - Nenda ofisi za NSSD utapata chap, cha msingi uwe na namba ya NIDA
2. Police Clearance - Mwajiri wako anatakiwa akupe barua ya kukutambulisha Police na kusema kuwa anawaomba wakufanyie clearance check, ndani ya siku moja zoezi linaisha. Majibu yatatumwa kwa Mwajiri wako. Ingawaje nimesikia kuna mfumo wa online, Just visit nearest police post for more information.
3. Barua ya HESLB - Hii hata sijui kwa nini wamekuomba. Wao wanatakiwa wa submit your college/University reg number to HESLB, then HESLB watatuma barua kwa mwajiri wako kuonesha status yako ya deni la mkopo (kama unadaiwa au la)
Kila la heri mkuu kwenye ajira mpya!
1. Police clearance: ingia kwenye website ya jeshi la polisi,jaza taarifa zako huko,utapewa control number,lipa,download form zako kisha nenda nazo polisi (Forensic Department),itategemea uko mkoa gani. Kwa hapa Dsm nenda chap pale ofisi za wizara ya mambo ya ndani posta ukiwa na hizo form zako. Ndani ya week utakuwa umepata hiyo barua. Kama uko mkoa mwingine fatilia ni wapi unaweza kuzipata ila utaratibu ni huo.
2. NSSF: Kwa ufahamu wangu,hao waajiri wako wanapaswa kukupa barua ya utambulisho,ikiwa imejazwa taarifa zako muhimu, unaipeleka ofisi za NSSF za wilaya unayoishi. Mengine yanaendelea baada ya hapo.
Sahihi kyoma!Nssf aende ofisini kwao akiwa na nida atapata Kwa haraka
Police clearance nenda central police kbsan,Habari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB
Je, nazipataje document tajwa na mimi ni recent graduate wa 2024?? Msaada wakuu.
Nenda NSSF,Nend Police na Uende HESLB uwaambie kama Hivyo.Habari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB
Je, nazipataje document tajwa na mimi ni recent graduate wa 2024?? Msaada wakuu.
Hongera mkuu kwa kupata kazi
1. NSSF number - Nenda ofisi za NSSD utapata chap, cha msingi uwe na namba ya NIDA
2. Police Clearance - Mwajiri wako anatakiwa akupe barua ya kukutambulisha Police na kusema kuwa anawaomba wakufanyie clearance check, ndani ya siku moja zoezi linaisha. Majibu yatatumwa kwa Mwajiri wako. Ingawaje nimesikia kuna mfumo wa online, Just visit nearest police post for more information.
3. Barua ya HESLB - Hii hata sijui kwa nini wamekuomba. Wao wanatakiwa wa submit your college/University reg number to HESLB, then HESLB watatuma barua kwa mwajiri wako kuonesha status yako ya deni la mkopo (kama unadaiwa au la)
Kila la heri mkuu kwenye ajira mpya!
Umeeleza vyema sana kwa kuongezeaHongera mkuu kwa kupata kazi

Anyway, siku hizi NSSF wanapokea wananchama wowote tu hata wale ambao siyo waajiriwa, nenda ofisi zozote za NSSF ujiandikishe. Police report pita kituo cha polisi mahali ulipo wakujazie. Heslb sasa hapo mtihani kama uko mbali na kanda au makao makuu!Habari wakuu,
Nilifanikiwa kupita kwenye interview ya kazi ya Junior HSE Officer na ninatakiwa kupeleka documents kadhaa siku ya kurepoti.
Mojawapo ya documents nilizoambiwa ni NSSF number, Police Clearance Report na Barua kutoka HESLB
Je, nazipataje document tajwa na mimi ni recent graduate wa 2024?? Msaada wakuu.
Deadline ni kesho na nimepewa siku moja tu.