Viambatanisho vya ajira Idara ya Elimu - TAMISEMI

Viambatanisho vya ajira Idara ya Elimu - TAMISEMI

mwenye shamba

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
978
Reaction score
1,766
Jamani nipo kijijini maporini huku natumia opera mini.

Naombeni mnijulishe ni vitu gani niviandae ambavyo vimeambatanishwa kwenye tangazo la ajira?

Je,barua ya kujitolea nayo ni muhimu?
 
Hujanielewa,natumia itel ya batani ila ina opera mini,yaani nipo kijijini sana huku mpanda kwenye mashamba ya mpunga,simu yangu haina hata uwezo wa kudisplay image achilia mbali huo uwezo wa kufungua pdf,ndo nimeomba msaada unitajie vitu vinavyohitajika ili ninapotoka huku kijijini niende mjini kamili.
 
Jamani nipo kijijini maporini huku natumia opera mini. Naombeni mnijulishe ni vitu gani niviandae ambavyo vimeambatanishwa kwenye tangazo la ajira? Je,barua ya kujitolea nayo ni muhimu?
Hiyo barua ya kujitolea weka nayo ili wakuonee huruma zaidi na kuipa uzito
 
Hujanielewa,natumia itel ya batani ila ina opera mini,yaani nipo kijijini sana huku mpanda kwenye mashamba ya mpunga,simu yangu haina hata uwezo wa kudisplay image achilia mbali huo uwezo wa kufungua pdf,ndo nimeomba msaada unitajie vitu vinavyohitajika ili ninapotoka huku kijijini niende mjini kamili.
Ww beba kila kitu hata cheti cha kipaimara beba huwezi kujua mambo yatakavyokuwa huko.
Kama unajitolea sehemu nadhan barua inatakiwa ipite huko unapojitolea
 
Back
Top Bottom