mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
Hiyo barua ya kujitolea weka nayo ili wakuonee huruma zaidi na kuipa uzitoJamani nipo kijijini maporini huku natumia opera mini. Naombeni mnijulishe ni vitu gani niviandae ambavyo vimeambatanishwa kwenye tangazo la ajira? Je,barua ya kujitolea nayo ni muhimu?
Ww beba kila kitu hata cheti cha kipaimara beba huwezi kujua mambo yatakavyokuwa huko.Hujanielewa,natumia itel ya batani ila ina opera mini,yaani nipo kijijini sana huku mpanda kwenye mashamba ya mpunga,simu yangu haina hata uwezo wa kudisplay image achilia mbali huo uwezo wa kufungua pdf,ndo nimeomba msaada unitajie vitu vinavyohitajika ili ninapotoka huku kijijini niende mjini kamili.
NdioAsante kaka,means barua iwe na anuani 3?