Viapo vyangu nilivyoipaa maishani.

Binti tz

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2026
Posts
480
Reaction score
1,038
1.sitawai penda 2.sitawai zini 3.sitawahi kuwa ***** 4.sitawai penda 5.sitawahi oa 6.namkataa shetani na mambo yake. 7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
 
Siwez acha uzao duniani uje ukateseke.
 
unauhakika kuwa towashi ni kazi ya mungu? kama unauhakika unawezaje kukaini maagizo ya unayesema ni mungu kwamba mkazaane na huku unaamini unamtumikia kweli, dont you see the contradiction?
 
Unamkataa shetani, then hapo namba 1 hadi 5 ndiyo mambo ya kishetani, ndiyo mission yake hapa duniani, kupoteza wanadamu.

Bado haujafikia highest level of comprehension.
 
Acha kutumia visungura kwa afya ya mwili na akili
 
Wewe ni towashi wa aina gani mkuu... wa kuzaliwa , kujifanya au kufanywa na watu?
 
Wewe ni Padre, Mtawa au Sista. Hebu weka wazi tujue.
Maana maua ya duniani yanavutia ila ndio hivyo yanachanuliwa na kila mtu.
 
Una umri gani Sasa?.
Ila Bado hujachelewa wanawake ni wengi sana humu ndani
 
Hii ni version nyingine ya Deogratius Nalimi Kisandu
 
Wewe ndiye uliwahi kujiita Binti Tz?
 
1.sitawai penda
Sawa
2.sitawai zini
Sawa
3.sitawahi kuwa *****
Chukua control # kwa Dudubaya akupe namba ya usajiri
4.sitawai penda
Ushasema umerudi au unataka kuolewa?
5.sitawahi oa
Kwa hio unataka kuolewa?
6.namkataa shetani na mambo yake.
Kwanini shetani amekufanya nini?
7.nitaishi hivi hadi kufa sitawahi acha uzao duniani.nimejitoa kuwa towashi nifanye kazi ya mungu.
Kwa hio utaolewa na nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…