Viashiria vya hatari kwa mwanamke mjamzito

Viashiria vya hatari kwa mwanamke mjamzito

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
VIASHIRIA VYA HATARI KWA MWANAMKE MJAMZITO.

Hivi ni viashiria au dalili ambazo akiwa navyo mjamzito ni hatari kwake na kwa mtoto.Kwani huenda vikasabisha kifo kwa mama au mtoto au wote wawili.

Pia huenda vikaathiri maendeleo ya ukuaji wa mtoto tumboni au akazaliwa kabla ya wakati au kuzaliwa na mapungufu.

Vifuatavyo ni baadhi ya viashiria hivyo:

1.Kutokwa na damu ukeni.

2.Kuvimba miguu.

3.Kupatwa na Kifafa cha Uzazi.

4.Upungufu mkubwa wa damu.

5.Maumivu makali ya kichwa na kizunguzungu.

6.Mtoto kutocheza.

7.Kutosikika vizuri au kutosikika kabisa kwa mapigo ya moyo ya mtoto.

Ikikutokea mojawapo kati hizo ishara na wewe una mimba nenda haraka Hospitali kamuone Daktari.
 
Back
Top Bottom