The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
1. Kushindwa kujidhibiti na
kuwajibika.
2. Kukojoa kitandani kwa Watoto katika umri makubwa na Hata watu wazima.
3. Kukosa utulivu pamoja na kulipa kisasi.
4. Kukata Tamaa Baada ya kugunduliwa kuwa Una ugonjwa wa muda mrefu kama vile maambukizi ya virusi vya UKIMWI.
5. Kutokukubali ukweli wa mambo yalivyo.
6. Kujihisi Kutokuwa na thamani.
7. Kuwa mshari Kwa kila mtu.
8. Kupungua au upotezaji wa kumbukumbu.
9. Kuhisi Kutengwa au kutelekezwa.
10. Kupoteza hisia za Tendo la ndoa Kwa Mwenzi wake.
11. Hofu, wasiwasi, woga, aibu kupitia kiasi.
12. Kuwa na Imani zisizo na uhalisia wowote ule.
13. Kujitenga na jamii.
14. Kujilaumu kupitia kiasi.
15. Kupoteza matumaini.
16. Kushindwa kuendana na mabadiliko.
17. Kulaumu watu wengine Kwa makosa anayopaswa kiwajibikia mwenyewe.
18. Talaka au kutengana.
19. Kuhusanisha kufeli katika Jambo fulani na kufeli kimaisha.
20. Mazungumzo hasi ya kibinafsi kujihusu mwenyewe.
Psychologist & Counselor.
George Sunzu.