Viashiria vya Mwenza ambaye anajiondoa kwako taratibu kihisia

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Wakuu,
Msemo wa akufukuzaye hakuambii toka, wahenga hawakupindisha kabisha inatakiwa ujiongeze

  1. Ukali kwa jambo dogo
  2. Anajibu lakini haanzi mazungumzo
  3. Anasema yuko busiy mara nyingi kuliko kusema 'nakumiss'
  4. Mazungumzo yanakuwa mafupi
  5. Kimya kinakuwa kirefu na cha kawaida
  6. Unaanza ku-overthink
  7. Mapenzi au ukaribu wa kimwili unapungua
  8. Hakuombi muda wa kukuona kama zamani
  9. Anakuwa defensive au baridi ukimuuliza
  10. Hatoi tena juhudi kukufanya ujiskie wa muhimu
 
Ukiona unalazimisha jambo lolote lile liwe kwenye maisha yako, ujue unalazimisha maumivu
 
Wewe hakikisha umekojoa tu tena umekojolea ndani bila mpira hayo mengine atajua mwenyewe wewe hayakuhusu unajua ule mzunguko unavyokua na maluweluwe wanayoyapitia katika ule mzunguko?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…