Viashiria za kukamilika kwa ndoto zako

Viashiria za kukamilika kwa ndoto zako

MSDK pj

Member
Joined
Jul 17, 2021
Posts
10
Reaction score
29
✍🏿✍🏿 MAFANIKIO NI TABIA:
Waswahili husema : Tabia hujengwa🤷‍♂️ Eti ni kweli?
Sina jibu ila kuna watu walikuwa wema sana Leo waovu, pia kuna watu walikuwa wovu Leo ni wemaa
👩🏿‍🦲👩🏿‍🦲 Yaweza kuwa kweli tabia hujengwa.
✍🏿 Hivi wajua mafanikio ni Tabia? 🤭🤭 😁😁😁
Ndio kuna tabia lazima uzibadili ndo mafanikio ama malengo yako yatatimia
🙆‍♂️🙆‍♂️ Kumbee ndo maana nilijiwekea niwe pale alafu sikufnikiwa TABIA ndo iiiniponza.
🎤 Ukweli ni kwamba Hata uwe ume andika malengo kiasi gani, hata uwe wapi hata uufundishe ubongo kuwa bilionea mara 1000000
Huwezi kufikia mafanikio au malengo mpka ubadili tabia
Nakupa mfano kamsome MO Tabia zke:
Mfnao Mo tabia zake
1. Huwa ana amka saa 10. Usk
2. Huwa ana lala saa 5
3. Huwa anasoma kitabu kwa siku.
4. Huwa ana andika malengo.
5. Anaishi kwa bajeti.
6 Ana nidhamu ya fedha.
7. Sio muoga wa kuwekeza.
8. Huwa anajituma.
9. Anapo taka kuwekeza hasemi hana mtaji.
10. Huwezi skia anasema Fulani ndo kanikwamish.
11. Akiona jambo la muhimu analianza Leo.
12. Huwa asubiri awe na kikubwa ndo aanze.
13. Huwa nakagau malengo kwa kila siku na kuyafanyia tathimini.
👆🏽🤷‍♂️ Hizo ni baadhi ya tabia za MO naye amejifunza kutoka kwa Dangote . hata bila gates naye ana tabia hizo. Za MO na kuzidi.
✍🏿✍🏿 Badili tabia zako ndo utafikia malengo yako. Kawasome vyema walio fanikiwa ukaige tabia zao.
 
Andiko limekosa mantiki ,so kwakuwa mo anaamka sa kumi na mim niamke SAA kumi naenda wapi na ili iweje ??

Kila mtu anamipango yake ,kama Mimi mlinz so niamke SAA kumi ili iweje
 
Umeanza vizuri umemaliza vibaya, kwa hiyo tumuige Mo?
 
Mkuu kama mtu ni maskini unamshauri aamke saa 10 usiku ili aende wapi na kufanya nn? Maskini huwa hana cha kufanya. Kwanza nj hatari kwake. Mo anatembea na mabaunsa, huyu kapuku ni rahisi hata kuitwa mwizi. Saa kumi!!!...


Haya unashauri alale saa 5 usiku. Hili siyo tatizo. Njoo kwa huku uswahilini mfano kwa Mtogole. Hukj tunalala saa 7au saa 8 usiku na wakati mwingine tunakesha tukiangalia picha za kihindi, kikorea ama pilau.

Lakini timechoka hatari! Kulala usiku Sana kama ingekuwa ni kigezo cha kutoboa maisha, basi huku uswahilini tungemzidi Dangote
 
Back
Top Bottom