Viatu Africa Kenya

Hatuna hiyo laana Tanzania that's your private property be proud of it.
 
Aise Geza michango yetu kwa ndugu zetu tunaiweka wapi you know Christmas is around the corner we need a happy and comfortable celebration for our neighbors.
 
That's pedicure and manicure I didn't see the massive jiggers tragedy like that of yours in Arusha never alafu from when a bigbrither winner being a volunteer to the function not worthy even a penny??? Maybe if Richard was the organisor himself.
Fuata hiyo link niliyoweka hapo ujifunze kitu.
 
Fuata hiyo link niliyoweka hapo ujifunze kitu.
Am the permanent citizen of Arusha hakuna chochote unaweza kunidanganya Arusha hakuna tatizo la funza Arusha hilo futa na sahau hako kaNGO chenu cha kitapeli kimewachuna vijisent huko wakawadanganya wanakuja Arusha kutoa funza wamewatapeli I have absolutely a maximum clue there is nothing like that in Arusha that's dominated it's dominant fort only inside Kenya's boundaries.
 

Unatia huruma aisei. Unafikiri kwa wewe kuishi kwenye vitongoji vya Arusha hivyo unajua kila kitu kinachotendeka kwenye huo mkoa wote.

A-city ina wenyewe ambao huja huku Nairobi kwenye kamari za kimataifa.
 
MK254 wacha kulazimisha mambo jiggers ni ugonjwa wa Wakenya na si Watanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…