Nakucheki mkuu, nimependa cheusi ichomi mmachinga ndugu, natafuta mtaji hapo ni duka la jumla ndio nachukuaga mzigo
Sent using Jamii Forums mobile app
Viatu vizuri sana. Rangi ni hizo hizo tu. Na pesa nalipa wakati gani? Ni on delivery?
Bila shaka wewe ndio mwenye DukaTangulia Central Kabisa!!!!
Nahitaji hii 41 yake Leo
Sent from my iPhone using JamiiForums
American booty rang ya kaki size 45 naweza pata kwashingap???