Kama upo Dar es salaam unaletewa mzigo baada ya kuupokea ndio unalipa, kwa mkoa unalipa ndio unatumiwa mzigo, kama unahofu uaminifu tafuta mtu aliye Dar akupokelee kwa niaba yako then ndio atalipa, or unaweza kutumia video call mzigo ukipokelewa bus terminal ndio unalipa 0678096545Swali: nalipia kwanza ndio naletewa mzigo au naletewa ndio nalipia?