Tuko pamoja chief nafkiri niliichukua Clerks manyoya wiki iliyoisha ulimpelekea wife ofisini nikaipata na iko vizuri sana.
Nnachojaribu kukushauri ni kuwa, amini unachokifanya na simamia unachokiamini coz katika maisha wapo watu kazi yao ni kuwakatisha wenzao TAMAA tu ila ukisimamia unachokiamini hautatetereka na kila kitu kitaendelea kuwa kama kinavyotakiwa kuwa, kuwa karibu na wateja wako, uaminifu ndio nguzo, jibu kwa staha hata mtu akiku-attack vipi jaribu kumu-ignore then mwisho wa siku tutaiita siku tu kiongozi.