Tambua kuwa biashara ni maridhiano. Huu sio wizi bali ni biashara halal. Uwezi kuamini kuna duka niliingia Dom nikakuta Reebok moja inauzwa hapa 55,000 ... pale dukani ni 80,000.Tatizo bongo mnaendekezana mno mm siwezi kuona mtu anaibiwa nikae kimya au kwenu mmefunzwa ivyo?