Viatu challenge

Miguu na sendo huleta ashki. Hii before...



Hii after - wembley hiyo

 
Halafu mmepatia kweli yani hasa hutwo twa manyoya wavaaji wake wana mashauzi balaa ukute kafuga na kucha sasa ukipishana nae km kitoto cha bata kinaogelea kwenye dimbwi la tope

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Siku ya kwanza kuviona hivyo viatu nilistuka, nilijua paka kalala juu ya mguu wa msichana, kumbe fashion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…