Viatu vinauzwa karibu

Anayechukua mzigo wa jumla ni kuanzia pc 10 ni hasara kukuletea pc 2ulipo haitallipa.
Mteja wangu jiongeze.
 
Nakuomba uspitwe na hi fursa ni muhmu sana hasa kwa wamama wa nyumbani ukikopesha hapo mtaani wiki tu umevuna.
Wajiriwa unakopesha hapo ofisini unasubir akipokea tumshahara unambana hapohapo umeongeza kipato....
Nakupa maarifaa
 
Nimepata wateja wengi sana wa Arusha
Asanteni endeleeni kunitafutia oda nyingi
HapoArusha.Barikiwa wote.
Dar mmelala siwasikii mmezoea mchina?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…