S sekyy Member Joined Aug 9, 2021 Posts 21 Reaction score 11 Aug 23, 2021 #1 Nauza viatu ngoziii jumla 8000 na leja leja 10000 napatikana kibaha pwani
Gamaha JF-Expert Member Joined Jul 17, 2008 Posts 3,915 Reaction score 5,038 Aug 23, 2021 #2 Kumbe viatu viko hivi siku hizi
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 33,092 Reaction score 96,127 Aug 23, 2021 #3 Gamaha said: Kumbe viatu viko hivi siku hizi Click to expand... Bora hata angesema viatu vya wazi, kidogo angeeleweka. Ila kitaa sisi tunafahamu hizo ni sandals (sendoz)
Gamaha said: Kumbe viatu viko hivi siku hizi Click to expand... Bora hata angesema viatu vya wazi, kidogo angeeleweka. Ila kitaa sisi tunafahamu hizo ni sandals (sendoz)
S Sanze M JF-Expert Member Joined Jul 20, 2021 Posts 4,141 Reaction score 8,602 Aug 23, 2021 #4 Kwenye soli wabongo tumechemka utakuta baada ya muda soli imebinuka kwa mbele.