OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Dah.kumbe macho yangu yote yamekodolea miguuNia na madhumuni ya mada ni viatu si miguu mkuu.
Hii ni kwa wanaojipenda tu. Sisi tusiojipenda tutavaa chachacha [emoji4]
Hii kauli ina maana kubwa sanaUzuri wake mkuu, wote tunapumua hewa hii hii.