M mchezo tosha Member Joined Jul 3, 2014 Posts 17 Reaction score 3 Jun 6, 2015 #1 Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji. Natanguliza shukrani
Natafuta mtu anaeuza ma bale ya viatu vya mtumba hapa Dar. Nina duka langu na na wateja wanahitaji variety na good quality. Kama ni Kenya naomba basi contacts za hao wauzaji. Natanguliza shukrani