Viazi Vitamu huongeza hamu ya kufanya mapenzi na kuchelewa kufka kileleni

Viazi Vitamu huongeza hamu ya kufanya mapenzi na kuchelewa kufka kileleni

Mayor of kingstown

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,898
Reaction score
4,156
JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM HUONGEZA
HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA
KUCHELEWA KUFIKA KILELE?

JINSI YA
KUTUMIA

(1) Chukua viazi vitamu vyembamba
vyenye rangi nyekundu

(2) usivimenye bali vioshe na uvichemshe kama vilivyo ... Hakikisha vimeiva na uviepue.

(3) Hakikisha unakula na maganda bila kutumia
kinywaji chochote!!

(4) Baada ya hapo tambua kuwa mapenzi ni hisia zako hivyo umejifunza kupika viazi vitamu na siyo tiba maana macho yalikutoka. kama una tatizo hilo muone Doctor.

(5) Usijione mpuuzi utakuwa umejifunza kitu si kila tiba unataka kujaribu
utakunywa Sumu mbwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utasababisha watu wapewe ban bure tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28] eh

anything you lose from being honest, you never really had to begin with.
 
Dah.....kipimo cha mkojo kinakuhusu[emoji13] [emoji13]

Sent from my beretta ARX 160 using JamiiForums Mobile App
 
viazi vitamuu ndo breakfast yang.hata leo nimeamka navyo,navipenda maana vinakaa tumboni mda mrefu(huhisi njaa mapema) tofauti na mkate

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JE WAJUA KUWA VIAZI VITAM HUONGEZA
HAMU YA KUFANYA MAPENZI NA KUSAIDIA
KUCHELEWA KUFIKA KILELE?

JINSI YA
KUTUMIA

(1) Chukua viazi vitamu vyembamba
vyenye rangi nyekundu

(2) usivimenye bali vioshe na uvichemshe kama vilivyo ... Hakikisha vimeiva na uviepue.

(3) Hakikisha unakula na maganda bila kutumia
kinywaji chochote!!

(4) Baada ya hapo tambua kuwa mapenzi ni hisia zako hivyo umejifunza kupika viazi vitamu na siyo tiba maana macho yalikutoka. kama una tatizo hilo muone Doctor.

(5) Usijione mpuuzi utakuwa umejifunza kitu si kila tiba unataka kujaribu
utakunywa Sumu mbwa wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbwa mwenyewe! Nyoko sana wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom