Viazi vitamu Mbulu vinapatikana sehemu gani?

Viazi vitamu Mbulu vinapatikana sehemu gani?

Bariki Konga

Member
Joined
Feb 20, 2018
Posts
7
Reaction score
5
Habari za hapa?

Nimesikia mbulu kuna viazi vitamu, naomba msaada mwenye connection jinsi vinaweza kupatikana, au kama kuna dalali uniunganishe.
 
Ni lazima iwe Mbulu? Au hata mikoa mingine inakufaa?
Ruvuma wilaya ya Songea viazi vitamu pia ni vingi sana kwa sasa.
 
Ni lazima iwe Mbulu? Au hata mikoa mingine inakufaa?
Ruvuma wilaya ya Songea viazi vitamu pia ni vingi sana kwa sasa.
Ni lazima mbulu kwa sasa kutokana na sehem nilipo kuna ukaribu.
Nashukuru kwa kunifahamisha kuhusu songea jambo ni mbali sana na huku kaskazini
 
Back
Top Bottom