B Bariki Konga Member Joined Feb 20, 2018 Posts 7 Reaction score 5 Jun 23, 2023 #1 Habari za hapa? Nimesikia mbulu kuna viazi vitamu, naomba msaada mwenye connection jinsi vinaweza kupatikana, au kama kuna dalali uniunganishe.
Habari za hapa? Nimesikia mbulu kuna viazi vitamu, naomba msaada mwenye connection jinsi vinaweza kupatikana, au kama kuna dalali uniunganishe.
blacksamurai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 387 Reaction score 646 Jun 23, 2023 #2 Ni lazima iwe Mbulu? Au hata mikoa mingine inakufaa? Ruvuma wilaya ya Songea viazi vitamu pia ni vingi sana kwa sasa.
Ni lazima iwe Mbulu? Au hata mikoa mingine inakufaa? Ruvuma wilaya ya Songea viazi vitamu pia ni vingi sana kwa sasa.
Nshomile wa Muleba JF-Expert Member Joined Dec 5, 2015 Posts 2,166 Reaction score 5,620 Jun 23, 2023 #3 mbulu ua kahama?
B Bariki Konga Member Joined Feb 20, 2018 Posts 7 Reaction score 5 Jun 24, 2023 Thread starter #4 blacksamurai said: Ni lazima iwe Mbulu? Au hata mikoa mingine inakufaa? Ruvuma wilaya ya Songea viazi vitamu pia ni vingi sana kwa sasa. Click to expand... Ni lazima mbulu kwa sasa kutokana na sehem nilipo kuna ukaribu. Nashukuru kwa kunifahamisha kuhusu songea jambo ni mbali sana na huku kaskazini
blacksamurai said: Ni lazima iwe Mbulu? Au hata mikoa mingine inakufaa? Ruvuma wilaya ya Songea viazi vitamu pia ni vingi sana kwa sasa. Click to expand... Ni lazima mbulu kwa sasa kutokana na sehem nilipo kuna ukaribu. Nashukuru kwa kunifahamisha kuhusu songea jambo ni mbali sana na huku kaskazini
B Bariki Konga Member Joined Feb 20, 2018 Posts 7 Reaction score 5 Jun 24, 2023 Thread starter #5 Nshomile wa Muleba said: mbulu ua kahama? Click to expand... Mbulu. Kahama au geita kwasasa viazi vinaharibika coz vimekaa sana ardhini
Nshomile wa Muleba said: mbulu ua kahama? Click to expand... Mbulu. Kahama au geita kwasasa viazi vinaharibika coz vimekaa sana ardhini