Viazi vitamu.

hauleibrahim

Senior Member
Joined
May 17, 2024
Posts
183
Reaction score
125
Kwa anae Lima viazi vitamu naombeni elimu.

Mbegu Bora ya kiazi kitamu ni ipi?

Inatunzwaje kuanzia kupanda kuweka mbolea mpka kuvuna kwake.

Je viazi vitamu uvunaji wake ukoje ili kitoke kiazi bila kumeguka meguka

Kwa yeyote mwenye elimu ya viazi vitamu naomba anitumie audio t maelezo Kwa kina kwenye no 0625537380.

Kwenye maelezo yako usiruke hatua yoyote muhimu kwenye kupata matokeo chanya ya viazi vikubwa na Bora vya biashara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…