Wanaijeria wanatuchafua sana waafrika, niliwahi kufukuzwa dukani nchi fulani wakinituhumu kuwa ni mnaijeria, hawakutaka kabisa kuhudumia mnaijeria.flight attendants walinisimulia wengi first class wanapiga wine. Anasema ameshawabamba kama Mara tatu jamaa wa Anatoka economy class walipotua Dubai wakawekwa chini ya ulinzi.
Pia ni tabia unakuta wameshazoea. Pia ni vizuri uwe makini na unakaanaye. Wengi wa abiria wa Hizi ndege siku hizi ni mapopo kina Nigeria
ET Wana First Class? Toka lini?😂Ahahahaaa...
Yaani first class mtu akilala anakuja abilia kutoka business class anamsachi na wewe bado umelala tu mmmh..!
Unaijua first class usije kukuta unachanganya na business class? Mbona wakati unabook hamna option ya First classWanayo mkuu boeng 777 na zingine direct flights from Addis to Chicago, DC, Toronto na Houston Texas na zote full booked
Ok maana niliwahi kusafir from Dar-DC wakati tunabadili ndege Addis tulikwea 787 isiyo na Na first class Bali Business Class na EconomyNajua ndio maana nimekuwekea direct routes za Toronto, DC, etc. Siyo za uchi a Africa na uarabuni. Nadhan umenipata
Wakikuyu mabingwaKQ ata uwe unatoka JNIA unaenda abroad via JKIA ukizubaa tu pale pale JKIA wanasababisha tukio la mzigo we ushangai Obama mwenyewe aliibiwa pale sanduku lake la nguo cheza mbali na vibaka wale
Mh chief kwa ET jamaa wapo vizuri ila kwa hawa makanjanja KQ hao wana rekodi ya upotevu wa mizigo ya wateja ukirejeshewa mzigo wako utakuta tu vitu vimepungua
Sio pekee yako mpaka watu tunaropoka ujue yametukuta piaMimi ni muathirika sana wa wizi KQ. Hii ndege ni kama MATATU. Abiria chunga mzigo wako.
Mno, wapopo wanatuharibia sana Waafrika. Wameharibu pakubwa sana kwa kweli, wanaboa sanaWanaijeria wanatuchafua sana waafrika, niliwahi kufukuzwa dukani nchi fulani wakinituhumu kuwa ni mnaijeria, hawakutaka kabisa kuhudumia mnaijeria.
Nilijisikia vibaya lakini ikanibidi niwe mpole, sijui yule mwenye duka alipatwa na maswahiba gani mikononi mwa hao binadamu.
Na ushahidi mwingine ubebe kwangu. Kunako 2016 nilienda Nairobi na ndege ya usiku, kuhuka JKIA nikakuta wamepita na vitu kibao kwenye begi. Niliumia sana kwa sababu ndivyo ambavyo ilikuwa niviumie kwenye safari yangu.Jamaa yang alinilalamikia kuhusu hiz za kenya nikajua uongo leo ndo nazid kuamin