Usijisimbue hakuna mganga mwenye uwezo huo kwasasa, utazidi kupotezaVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Mie walishanipiga size 49 kwa style kama yakoVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
π€£π€£Acha ujinga pigana ununue chogo inch 8 mganga atakula hela yako bure na ukicheza atakupiga ukuni.
Madirisha ya aluminium hata ufunge vipi vibaka huyafungua tu mkuuKwahiyo kwanza walipasua kioo ndo wakakata nondo za dirisha? Au hukufunga dirisha?
Haukubakwa?Unalala kama marehemu!πππVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Hamna kumpa pole mzembe.TV Brand gani? Pole sana.