Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Umombo huu.....mnatuacha kijereshi πππOh honey,I am a bit at easy!Thank you!
Duuuh asee asante kwa taarifaSheria ya uwizi ili usilogwe unaacha mabi
Mabi πππEeeh mabi tena mkuuu
Nimechapia hapo πMabi πππ
Upo wapiVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Unaishi keko ipi Magurumbasi au Keko Machungwa?Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Tafuta hela nunua nyingine kwa mganga utaambilia kuliwa hela zaidiVibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja.
Ndio hivyo mkuu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nani huyo mkuuu ninecheka kaa fala hapa
Hatukuenda Cuba.Tumesomea Kukirango sekondari pale Kiabakari mkuu.Umombo huu.....mnatuacha kijereshi πππ
Haki nimecheka sana aise[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haukubakwa?Unalala kama marehemu![emoji23][emoji23][emoji23]
Tulia hapohapo!Nakuja.Af nakungojea unipe lift twende kwa mganga
Usiirudie hiyo sentensi nitaachika mkuu.
Vibaka wameniibia smart TV size ya 48" mpya kabisa ambayo niliinunua juzi tu
Waliingia ndani kwa kuvunja dirisha usiku wa manane, wala sikusikia chochote walipokuja ila nilipoamka asubuhi nilikuta TV haipo sebuleni na vyuma vya dirisha vikiwa vimekunjwa hadi kuwezesha mwizi kuingia na kutoka kwa kupitia hapo dirishani.
Ninapanga kwenda kwa mganga wa kienyeji ili kurejesha smart TV yangu.
Naomba kama kuna mganga wa kienyeji hapa jf mwenye uwezo wa kupiga ramli hadi vibaka walioiba TV yangu wapatikane, ajitokeze hapa nimpe kazi mara moja. Pole mwamba
[emoji849][emoji1]kwanini mkuu?Usiirudie hiyo sentensi nitaachika mkuu.
Aiyam kamingi honey!Nimechoka kukusubiria
figo76 atanimaliza.