Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Sijui hizi bank zimeingiwa na mdudu gani wamejaza walinzi na makamera kibao lakini hakuna kitu nina mpango wa kwenda kuwashitaki,
Juzi nilidraw hela kutoka kwa teller baada ya hapo nikawa nimekaa na mzigo huo kwenye makochi nasubiri dereva wangu pembeni kulikuwa na vijana wawili sikuweza kuwatambua vizuri, nilitoka nje wakati dereva alipokuja kunichukua then nikaingia kwenye gari, baada ya kutoka na gari km 1 kujiangalia nikakuta bahasha moja yenye laki 4 sina, nikamwabia dereva arudishe gari scb kufika vijana waliokuwa wamekaa pembeni hawakuwepo nikariport kwa Branch Manager akawapigia watu wa IT(wa kumonitor camera). Nilisubili kwa muda wa 1.45 B.Manager akaniambia nirudi officn watanibigia, nilikataa baada nikasema ngoja nienda kazin
Baada ya saa 1 tena nipo kazi ndo nikapigiwa simu wakasema hawakuona kitu eti nilipokaa sikuacha kitu chochote
Mpaka sasa najiuliza maswali yafuatayo
1. Je kuna watu bank wanashirikiana na vibaka?
2. Nini matumizi ya camera za bank?
3. Nataka kuwashitaki nifanyeje?
4. Makochi yaloyoko bank yanaleta vibaka? maana mtu anakaa muda mrefu akiwa na nia mbaya