K kamkoda JF-Expert Member Joined Sep 20, 2012 Posts 396 Reaction score 71 Oct 29, 2012 #1 Hivi kweli inaingia akilini kuwa walimu wageni kwa walimu wa shule za awali na msingi? hii inatokea kule bomang'ombe kuna shule zenye walimu wa nje sina hakika kama hivi vibali vinatolewa kwa mazingira ya kawaida.
Hivi kweli inaingia akilini kuwa walimu wageni kwa walimu wa shule za awali na msingi? hii inatokea kule bomang'ombe kuna shule zenye walimu wa nje sina hakika kama hivi vibali vinatolewa kwa mazingira ya kawaida.