she-eagle Member Joined Mar 2, 2016 Posts 43 Reaction score 43 May 20, 2016 #1 Wapendwa naomba muongozo. Ninataka kufungua duka la urembo. Nimekwisha pata frame na kila kitu tatizo sijajua kuhusu vibali na usajili ninaanzia wapi? Natanguliza shukrani.
Wapendwa naomba muongozo. Ninataka kufungua duka la urembo. Nimekwisha pata frame na kila kitu tatizo sijajua kuhusu vibali na usajili ninaanzia wapi? Natanguliza shukrani.
Mwanamaji JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 2,905 Reaction score 4,518 May 20, 2016 #2 Mkuu Sijui sana ila nenda ofisi za halmashauri ukaisajili biashara yako, sidhani kama kwa hizi biashara ndogondogo kuna ulazima wa kwenda BRELA.
Mkuu Sijui sana ila nenda ofisi za halmashauri ukaisajili biashara yako, sidhani kama kwa hizi biashara ndogondogo kuna ulazima wa kwenda BRELA.
she-eagle Member Joined Mar 2, 2016 Posts 43 Reaction score 43 May 20, 2016 Thread starter #3 asante sana ndio walewale at least nimepata mwanga
Jane Lowassa JF-Expert Member Joined May 10, 2016 Posts 4,955 Reaction score 9,041 May 20, 2016 #4 Ha ha ha haaaa. Ama kweli duniani kuna mambo.