jackderick
Member
- Dec 31, 2012
- 29
- 9
Habar wadau Ninataka kufungua kampuni itakayo dili na kufanya matangazo hapa nchini .sasa nauliza wadau kama mnafahamu Kuna vibali vyovyote nitatakiwa Kuwa Navyo nje ya vibali vya kufungua kampuni?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.