Vibali vya kufanya matangazo

jackderick

Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
29
Reaction score
9
Habar wadau Ninataka kufungua kampuni itakayo dili na kufanya matangazo hapa nchini .sasa nauliza wadau kama mnafahamu Kuna vibali vyovyote nitatakiwa Kuwa Navyo nje ya vibali vya kufungua kampuni?
 
Mkuu kuwa ba subira kwani wenyewe wanakuja labda kama unahitaji partner tuwasiliane kwa pm hapa jamii....
 
Kwani advertising ya Dar Ina regulatory authority
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…