Vibali Vya Ujenzi

lemky

Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
80
Reaction score
31
Habarini viongozi ???
Naombeni kuuliza kama kuna ulazima wa kutafuta kibali cha ujenzi katika viwanya vya skwata kabla havijapimwa ?,,
 
Kibali kinaendana na planned areas. Sidhani kama utaweza kupata hicho kitu.
 
Nafahamu manispaa ya ubungo na kinondoni wanatoa vibali kwa unplanned areas, kwa manispaa ya ubungo nimeshuhudia wakisimamisha ujenzi na kutwanga fines kwa ujenzi usio navibali kwenye skwata!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…