Vibamia vs Majaaliwa? Wanawake kuweni na msimamo

STUNTER

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Posts
13,076
Reaction score
17,247
Ikitokea UMEBARIKIWA utasikia Ohh bwana hii
hapana itaniumiza mi napendaga vidogo-dogo ndo
nainjoi...Unaweza ukasema Yeess labda wanapenda
Ndizi Kisukari...
Sasa Kosea uwe na KiNUKTA utakuwa gumzo mtaa
mzima,Mnaweza kuwa mnaongea ishu za KATIBA mara anaibuka Bishosti from nowea na topiki
yako,"Hivi Shoga zangu yule abuu mnajua ana
Kibamia cha Hatari yaani hadi kero kikipulizwa na feni
tu kinazimika"
Mpaka aibu kutembea maana utahisi kila
anayekuangalia anajua siri yako kwamba wewe ni "Mgomba wa Singida hauna Mkungu mrefu"
Heri uwe na BARAKA TU ulaumiwe kugusa viunga
vya uzazi maana Kibamia utakuwa maarufu kuliko
OKWI...Hivi wadada mbona hamuelewekagi, Mnapenda MAJAALIWA au VINUKTA?? Mnatuchanganya kweli...Semeni 1 tujue..Team Majaliwa tupooo??? Vinukta MPOO??Mie simo
 
kishwahili kipana mimi nikajua ni mambo ya Siasa labda huyo mwingine atawahi kuhamia dom...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…