Cantona fundi mkuu
JF-Expert Member
- May 21, 2023
- 295
- 313
Zuri!Vibanda vya mbao(board) tunatengeneza Kisha tunapga stika hapo maji yanateleza tu na linapendeza sanaaaaa Aya wafanya biashara nipeni kaz maboss zangu..
0692477610
Bei hutegemea na ukubwa unaotaka boss inaanzia laki 8.. Milion 1 na laki 8 na Milion 2 na nusu
View attachment 3456616
Karibuni sana bossZuri!
Karibuni sana boss
Miaka 10 linafika ila lazma lifanyie repair hasa upande wa chini kutokana na adhari ndogo ndogo za mvua bossLinaweza kudumu miaka kumi ?
Maana nataka nifanye biashara miaka kumi niwe tajiri Sana alafu niachane na biashara haraka Sana kabla sijafirisika
Mbeya mnafika?Miaka 10 linafika ila lazma lifanyie repair hasa upande wa chini kutokana na adhari ndogo ndogo za mvua boss
Tunafika boss wanguMbeya mnafika?